Mwanamke Asema Mtoto Wake Huzungumza na Mtu Asiyeonekana Kila Jioni

Ilikuwa ni hali ya kutisha iliyoibua hofu kwa wakazi wengi baada ya mwanamke mmoja kusema kuwa mtoto wake wa miaka mitano amekuwa akizungumza na mtu asiyeonekana kila jioni.

Kila saa kumi na moja jioni, mtoto huyo huenda kukaa sebuleni peke yake, akicheka na kuzungumza kana kwamba kuna mtu anayemjibu. Wakati mwingine hata huacha nafasi kando yake, akisema β€œacha akae hapa.”…CONTINUE READING