Jamaa Atokwa Machozi Baada ya Kusikia Sauti ya Marehemu Ndugu Yake Ikimuita kwa Jina

Nilikuwa nimekaa sebuleni nikitazama televisheni usiku wa manane. Nyumba ilikuwa kimya kabisa, mke wangu na watoto walikuwa wamelala. Mara nikasikia sauti ikiniita kwa jina langu. Ilikuwa sauti ambayo ningeitambua popote sauti ya kaka yangu marehemu, Juma.

Moyo wangu ulipiga kwa kasi. Nilijaribu kujidanganya kwamba labda ilikuwa ni mawazo yangu, lakini sauti hiyo ilirudia tena, safari hii ikitokea karibu na mlango wa chumba changu. Nilisimama, mikono ikitetemeka, nikajaribu kuita, β€œNani hapo?” Hakukuwa na jibu. Badala yake, nilihisi upepo baridi ukipita karibu nami.…CONTINUE READING