Kwa muda mrefu nilihisi kama mwili wangu haukuwa na mwelekeo tena. Kila siku niliamka nikiwa mchovu, kichwa kikiwa kizito na mwili ukiwa hauna nguvu hata kwa kazi ndogo.
Usingizi wangu ulikuwa wa kukatika, tumbo lilikuwa halieleweki, na hamu ya kufanya mambo niliyoyapenda ilipotea polepole. Nilianza kuishi maisha ya kubahatisha tu, nikivumilia siku kwa siku bila furaha.…CONTINUE READING