Nilivyoshinda PCOS Baada ya Miaka ya Uchovu, Uzito Kutuama na Mzunguko Kutoweka Sasa Nimepata Afya na Uwezo wa Kujiamini Tena

Kwa miaka mingi nilihisi kama mwili wangu ulikuwa unanipinga. Nilianza kuongeza uzito ghafla bila sababu, tumbo likawa kubwa na ngumu, uso ukajaa chunusi zisizotibika, na hedhi ikawa inatoweka kwa miezi.

Kila daktari niliyemuona aliniambia kitu kile kile PCOS (Polycystic Ovary Syndrome). Nilihisi kama hukumu ya maisha imeandikwa juu yangu. Hata kama watu walisema, “unaonekana mzima,” ndani yangu nilijua mambo hayakuwa sawa.…CONTINUE READING