Kwa muda mrefu, pumzi yangu ilikuwa adui yangu mkubwa. Nilikuwa naishi maisha ya kuhesabu kila hatua, kila hewa, na kila mahali ninapokwenda. Nilikuwa nikienda na inhaler kama mtu anayeenda na pochi yake sio kwa sababu napenda, bali kwa sababu ilikuwa lazima. Kila msimu wa baridi ulipofika, nilihisi kama hukumu imenifuata tena.
Nilishindwa hata kulala usiku, nikihisi kifua kimebanana na koo limekauka, halafu ghafla napata mashambulizi ya pumua hadi najikuta naamka nikipumulia hewa kwa nguvu kama mtu anayeokolewa kutoka majini.…CONTINUE READING