Kuna mambo ambayo mwanamke yeyote anapitia kimyakimya, hasa linapokuja suala la joto la mwili na utelezi. Sikuwahi kufikiri kwamba siku moja mimi mwenyewe ningejikuta nikiwa kwenye upande huo wa maumivu ya kimya.
Kwa miezi mingi, nilianza kugundua mabadiliko mwilini mwangu. Nilikuwa nikipoteza hamu, nikihisi ukavu, na kila usiku nilijitahidi kujifanya niko sawa ili mume wangu asijue hali yangu. Nilijua nilikuwa nikimkosea, lakini sikuwa na njia nyingine. Nilihisi aibu na huzuni.