Nilivyoshinda Kesi Mahakamani Baada ya Jaji Kusema ‘Ushahidi Huu Umebadilisha Kila Kitu’

Jina langu ni Martin Onyango, mkazi wa Kisumu. Nilipitia kipindi kigumu sana maishani mwangu niliposhtakiwa kwa kosa ambalo sikulifanya. Nilihisi dunia imenigeuka, marafiki wakaanza kuniepuka na hata ndugu wakaanza kuniangalia kwa macho ya mashaka.

Nilijikuta nikipoteza heshima, biashara ikayumba, na kila mtu aliamini kuwa mimi ndiye mkosaji. Kesi hiyo ilikuwa inahusu wizi wa vifaa vya kampuni niliyokuwa nafanya kazi, na nilikamatwa tu kwa sababu nilikuwa kazini siku hiyo.

… CONTINUE READING