Nilivyomsaidia Mwanangu Kuacha Uvivu na Kuongoza Darasani Kwa Mara ya Kwanza

Kila mzazi hupata furaha kubwa anapoona mwanawe akifanya vizuri shuleni, lakini kwa muda mrefu nilikuwa na huzuni kila mara nilipokuwa nikiona matokeo ya mwanangu. Alikuwa akifanya vibaya kila muhula, na walimu wake waliniambia alikuwa mvivu na mwenye kukosa motisha.

Nilijaribu kila njia kumtia moyo  nilimnunulia vitabu, nikamweka kwa walimu wa ziada, hata nikimpa zawadi ndogo ndogo alipofanya vizuri. Lakini bado nilikuwa napata matokeo yale yale ya kukatisha tamaa.…CONTINUE READING