Nilikuwa nimechoka, nimevunjika moyo, na nimebeba jukumu zito la kulea watoto peke yangu. Mwanaume niliyempenda, baba wa watoto wangu, aliniacha bila hata kuaga vizuri. Alipata mwanamke mwingine na kuamua kusahau kabisa kwamba kuna watoto waliokuwa wanamtegemea. Nilijaribu kila njia kumpata, kumkumbusha wajibu wake, lakini hakuwahi kujibu simu zangu, wala hata kuulizia watoto.
Miaka miwili ilipita nikiwa mama wa pekee. Niliuza nguo, nikafanya vibarua, nikahangaika kuhakikisha watoto wangu hawakosi chakula wala ada. Kila mara waliponiuliza, “Mama, baba yuko wapi?” moyo wangu ulivunjika vipande vipande. Nilihisi kama dunia imenigeuka.…CONTINUE READING