Mkazi mmoja wa Tabata jijini amewaacha wengi midomo wazi baada ya kudai aliona mwanga mkali chumbani kwake usiku mmoja, na tangu siku hiyo maisha yake yamebadilika kwa namna ya kushangaza. Kijana huyo, anayejulikana kama Hamis, alisema alikuwa akiishi maisha ya shida na kukata tamaa kabla ya tukio hilo la ajabu kutokea.
Kwa muda mrefu, Hamis alikuwa akihangaika kupata kazi bila mafanikio. Alijaribu biashara ndogo ndogo kama kuuza mitumba na juisi, lakini kila mara mambo yalikuwa yanamwendea vibaya. βNilikuwa nimefika hatua ya kuamini mimi ni mwenye mikosi. Nilijaribu kila kitu lakini sikuona matokeo,β alisema kijana huyo kwa huzuni.…CONTINUE READING