Wakazi wa soko la Kibaigwa walibaki midomo wazi baada ya kushuhudia tukio lisilo la kawaida. Mwanamke mmoja, anayetambulika kwa jina la Grace, alionekana akizungumza peke yake sokoni kana kwamba anazungumza na mtu ambaye hakuna mwingine anayemuona. Watu waliokuwa karibu walianza kumuangalia kwa hofu, wengine wakidhani huenda amechanganyikiwa.
Mashuhuda walisema Grace alianza kuzungumza kwa sauti, akiita majina na kuomba msamaha kwa watu ambao hawakuwepo. Wengine walijaribu kumtuliza lakini akawa anawaambia, โMsiingilie, hawa watu mnaowaona siyo kama mnavyofikiri, wanaishi nami kila siku.โ Kauli hiyo iliwafanya wengi kuanza kuogopa, wengine wakaanza kumkimbia.…CONTINUE READING