Nilivyookoka Kwenye Ajali Ndogo Iliyobadilisha Maisha Yangu Milele

Siku hiyo ilikuwa ya kawaida kama siku nyingine yoyote. Nilikuwa nimechelewa kidogo kazini, nikikimbizana na muda kama ilivyo desturi yangu. Nilipanda pikipiki kuelekea mjini, nikidhani ni safari ya dakika kumi pekee.

Sikujua kuwa hiyo ndiyo ingekuwa siku itakayogeuza maisha yangu kabisa. Tulipofika kwenye mzunguko mmoja, gari lililotoka upande wa kulia liliteleza na kutupiga kwa nguvu. Nilijikuta nikiruka hewani, nikapiga uso na bega barabarani.…CONTINUE READING