Katika kijiji kimoja tulichopo pembezoni mwa mji, gumzo limekuwa mwanamke mmoja anayeitwa Miriam. Wanawake wengi wanamuonea wivu, wanaume wanashangaa, na hata wazee wameanza kujadili juu ya hali yake. Inadaiwa kwamba kila kitu Miriam anachotaka kutoka kwa mumewe, hupata bila kuulizwa chochote. Wengine wanasema ni bahati, wengine wanasema ni siri kubwa ya ndoa, lakini ukweli umebaki kuwa kitendawili kisichoteguliwa.
Miriam ni mama wa watoto wawili, na maisha yake yalikuwa ya kawaida tu kabla ya mambo kubadilika. Alikuwa anapitia changamoto nyingi kama wanawake wengine wa kawaida. Mumewe alikuwa mkali, mwenye hasira, na mara nyingi hakujali hata maombi madogo aliyomwomba. Miriam alijaribu kuwa mpole, kuomba, na hata kulia, lakini hakukuwa na mabadiliko. Watu wa karibu walijua wazi kuwa ndoa yao ilikuwa inatetereka.…CONTINUE READING