Kwa muda wa karibu miaka miwili, nilikuwa nikiishi maisha ya maumivu yasiyoisha. Nilianza kwa dalili ndogo tu uchovu wa mara kwa mara, maumivu ya kichwa, na kukosa nguvu mwilini. Nilifikiri ni uchovu wa kazi au labda msongo wa mawazo.
Lakini kadri muda ulivyopita, hali yangu ilizidi kuwa mbaya. Kila asubuhi nilipoamka, nilihisi mwili mzito, miguu ikinisisimka, na kichwa kuuma kana kwamba nilikuwa sijalala kabisa. Nilianza kuchelewa kazini kila siku. Wenzangu waliniona kama mzembe, lakini ukweli ni kwamba nilikuwa nikipambana na kitu kisichoelezeka.…CONTINUE READING