Kuna wakati maisha yangu yalikuwa yamejaa madeni kila upande. Nilikuwa nimekopa kwa marafiki, benki, na hata majirani. Kila siku nilikuwa nikipokea simu za watu wakitaka hela zao. Nilihisi nimechoka, nilipoteza amani ya akili, na hata usingizi haukupatikana. Nilijaribu kila njia ya kujipatia kipato, lakini haikusaidia. Kila nilichojaribu kilionekana kwenda kombo, hadi nilianza kuamini labda mimi ni mtu wa bahati mbaya.
Siku moja, nikiwa nimekaa nje ya nyumba yangu nikitafakari, jirani yangu aliniambia, “Kwanini usijaribu bahati yako kwenye bet za KPL? Watu wengi wanashinda siku hizi.” Nilimcheka na kusema sina bahati ya kushinda mambo kama hayo. Lakini usiku huo nililala nikifikiria maneno yake. Nilijiuliza, “Itakuwaje kama nikijaribu mara moja?” Siku iliyofuata, nilitumia kidogo nilichokuwa nacho kuweka bet kwenye mechi za ligi ya KPL.…CONTINUE READING