Kwa muda mrefu, nilikuwa nikijiona kama mwanaume aliyepoteza thamani yake. Nilikuwa nimeoana kwa miaka mitatu, lakini ndani ya ndoa yangu kulikuwa na tatizo ambalo nilikuwa naliogopa kulizungumzia nilikuwa nimepoteza kabisa nguvu za kiume.
Mwanzoni nilidhani ni uchovu wa kazi, labda stress za maisha, lakini kadri siku zilivyokwenda, hali ilizidi kuwa mbaya. Mke wangu alianza kuwa kimya, hakunitazami kwa jicho lile la upendo tena. Nilihisi aibu, nilijilaumu, na mara nyingi nilijifungia chumbani nikiwa nimechoka kisaikolojia.…CONTINUE READING