Nilivyoshinda Bet Kubwa ya Ligi Kuu Uingereza

Sikuwa nimewahi kufikiria kwamba siku moja ningeamka nikiwa mtu tajiri kutokana na bet. Nilikuwa nikibashiri mechi za Ligi Kuu Uingereza kila wiki, lakini kwa miaka miwili nilipoteza zaidi ya nilivyoshinda. Wakati mwingine nilikosa mechi moja tu kati ya kumi, mara nyingine nilishinda kiasi kidogo kisichotosha hata kulipa deni langu kwa kampuni ya bet. Nilikuwa nimeanza kukata tamaa kabisa.

Marafiki zangu walinicheka, wakiniambia niache kubashiri kwa sababu sina bahati. Lakini moyoni nilijua kuna kitu kinachonizuia, si kwamba sijui mpira. Nilifuatilia takwimu, nilitazama mechi, na hata nilijaribu kutumia mikakati ya wataalamu wa bet, lakini bado nilishindwa. Kila mara nilipoamini nitaibuka mshindi, mambo yaligeuka dakika za mwisho.…CONTINUE READING