Kwa muda mrefu nilikuwa naishi na siri ambayo ilinifanya nijisikie dhaifu kama mwanamke. Nilianza kugundua mabadiliko mwilini mwangu nilipokuwa karibu na mume wangu, sikuwa na hamasa kama zamani, na nilihisi kukauka sana wakati wa tendo la ndoa. Mwanzoni nilidhani labda ni uchovu wa kazi au msongo wa mawazo, lakini hali ilipozidi, ilianza kuathiri ndoa yangu.
Mume wangu alianza kuwa mbali nami. Hakuwa akiniambia moja kwa moja, lakini niliona jinsi alivyopoteza hamu ya ukaribu. Nilijilaumu sana, nikahisi labda sitoshi tena. Wakati mwingine nilijifanya kuwa sawa ili tusizozane, lakini ndani ya moyo wangu nilikuwa nalia kimya kimya. Nilihisi kama nimepoteza sehemu muhimu ya mimi kama mwanamke.…CONTINUE READING