Nilivyorejesha Hamu ya Mapenzi Baada ya Miaka Miwili ya Kukosa Hisia Kabisa

Kwa miaka miwili nilihisi kama nimepoteza sehemu muhimu ya utu wangu. Nilikosa kabisa hamu ya kimapenzi, jambo lililonifanya nijione dhaifu na asiye kamili kama mwanamke. Ndoa yangu ilianza kuyumba taratibu, mume wangu akazidi kuwa mbali nami, na mimi nikazama katika huzuni ya ndani ambayo sikuweza hata kuielezea.

Kila siku nilijiuliza ni kitu gani kilikuwa kimebadilika. Nilikuwa bado nampenda mume wangu, lakini mwili wangu ulikataa kuitikia. Nilijaribu kutumia dawa hospitalini, nikafuata lishe bora, nikajaribu kupunguza mawazo, lakini hakuna kilichobadilika. Usiku ulipowadia, nililala nikijikunyata, nikijua mume wangu alilala akiwa na maswali yasiyo na majibu.…CONTINUE READING