Sikuwahi kufikiria kuwa ndoa yangu ingeingia kwenye giza la huzuni kiasi kile. Mume wangu, ambaye hapo awali alikuwa mwenye bidii na upendo mwingi, alianza kubadilika taratibu. Kila jioni alianza kutoka bila kueleza anakokwenda, na baada ya muda mfupi akawa mlevi wa kupindukia. Tulianza kugombana kila siku, watoto wakawa na hofu, na mimi nikaanza kuona kama ndoa yangu imefika mwisho.
Nilijaribu kila njia kumsaidia. Nilizungumza naye kwa upole, nikampeleka kwa mshauri wa ndoa, nikajaribu hata kumwomba ndugu zake wamsaidie, lakini yote hayakuzaa matunda. Kadri siku zilivyopita, ndivyo alivyokuwa anakosa amani zaidi na kuzama kwenye pombe. Nilianza kuumia moyoni, nikilia kila usiku nikiomba Mungu anisadie kumrejesha mume wangu.…CONTINUE READING