Kwa zaidi ya miezi sita, nilikuwa nimekonda kupita kiasi. Watu walidhani ninaumwa ugonjwa hatari, lakini ukweli ni kwamba nilikuwa nimekosa kabisa hamu ya chakula. Nilijaribu kula kwa lazima, lakini chakula kilionekana kama mchanga mdomoni.
Nilipokuwa nikijilazimisha, nilihisi kichefuchefu na mara nyingine hata nilitapika. Mwili wangu ulikuwa umedhoofika kiasi kwamba hata kupanda ngazi kidogo tu ilikuwa kazi kubwa.…CONTINUE READING