Kwa miaka mitatu niliteseka na kitambi ambacho kilinifanya nipoteze kabisa kujiamini. Kila nikivaa nguo nilihisi kama kila mtu alikuwa ananiangalia tumbo langu. Nilijaribu mazoezi, nilikata chakula cha mafuta, hadi nikajaribu dawa nyingi za kupunguza tumbo nilizonunua mtandaoni, lakini hakuna hata moja iliyofanikiwa. Wakati mwingine nilikuwa nikilia usiku nikiwa nimekata tamaa kabisa, nikijiuliza kama nitawahi kuwa na mwili niliokuwa nauota.
Kila nikipita sokoni, wauzaji wa nguo waliniambia waziwazi kuwa nguo nyingi hazingenitosha kwa sababu ya tumbo langu. Wengine walinicheka wakisema labda nilikuwa mjamzito. Maumivu ya maneno hayo yalinichoma sana. Nilianza kuvaa nguo kubwa kubwa ili kuficha umbo langu. Hata marafiki zangu walipoenda kuogelea au kwenye hafla nilijiepusha, nikiwa na hofu watu wangenicheka.…CONTINUE READING