Kwa muda mrefu nilikuwa nimeishi na aibu ya siri ambayo sikuweza kumwambia mtu yeyote. Nilianza kuhisi uchovu mwingi, mwili wangu ukapoteza nguvu, na zaidi ya yote, nikaanza kushindwa kumridhisha mke wangu kitandani. Ilikuwa ni hali ya aibu sana kwa mwanaume mzima mwenye familia. Nilijaribu kujipa moyo, nikidhani labda ni kazi nyingi au msongo wa mawazo, lakini hali ilizidi kuwa mbaya kadri siku zilivyopita.
Nilianza kuwa na hasira zisizo na sababu, nikawa mkimya sana nyumbani. Mke wangu alianza kuniuliza maswali, lakini kila mara nilijaribu kukwepa majibu. Wakati mwingine nilijifanya nimechoka, au nilijifanya ninaumwa, lakini moyoni nilijua ukweli nilikuwa nimepoteza uwezo wangu wa kiume. Nilihisi kama dunia imenigeuka.…CONTINUE READING