Nilivyoshinda Kesi Baada ya Kunyimwa Ardhi Ya Urithi Kwa Miaka Mitano

Kwa miaka mitano mfululizo, nilikuwa nikiishi kwa maumivu na hasira baada ya ndugu zangu kuninyang’anya kipande cha ardhi tulichoachiwa na marehemu baba yetu. Nilihisi kudharauliwa na kuachwa peke yangu. Kila mara nilipofika mahakamani, kesi ingeahirishwa au upande wao ungeleta hati mpya zenye maneno ya kunichanganya. Nilianza kuamini labda kuna nguvu fulani nyuma ya pazia zinazozuia haki yangu.

Maisha yangu yalibadilika vibaya. Nilipoteza hamu ya kula, usingizi ukanikimbia, na kila mtu alionekana adui. Nilijaribu kutafuta msaada kutoka kwa watu waliodai wanajua mambo ya kisheria lakini wote walinipotezea. Nilihisi kama dunia imenigeuka. Wakati mwingine nilikuwa nikienda kulala nikiwa nalia, nikiomba Mungu afanye miujiza maana nilihisi sina nguvu tena za kupigana.…CONTINUE READING