Kila mtu alidhani nimechanganyikiwa nilipotangaza kuwania ubunge bila chama kikubwa. Wengi walinicheka, wengine walinibeza waziwazi. Walisema siwezi kushindana na wagombea waliokuwa na hela, magari, na vyombo vya habari nyuma yao. Lakini ndani yangu nilijua nina sababu ya kufanya hivyo, sababu ya kutaka mabadiliko ya kweli. Niliona watu wangu wakiwa wanahangaika kila siku huku viongozi wakiwa hawajali.
Nilijua nina maono mazuri, lakini changamoto ilikuwa jinsi ya kuwashawishi watu waniamini. Nilijaribu kampeni ndogo ndogo, mikutano ya kijiji, hata matangazo madogo mtandaoni, lakini haikusaidia sana. Kila nilipoenda, watu walisema, βTunakuamini, lakini bila chama utapoteza kura.β Nilihisi moyo ukivunjika. Nilikuwa nimefika hatua ya kukata tamaa kabisa.…CONTINUE READING