Mbinu Mpya na Sahihi ya Kuvutia Utajiri

Watu wengi wanapambana kila siku kutafuta utajiri, lakini wachache sana wanaelewa siri ya kweli ya mafanikio. Kuna wanaofanya kazi kwa bidii lakini pesa zao hazikai. Wengine huanzisha biashara zinazofungwa kabla ya mwaka kuisha, huku wakishangaa kwa nini kila wanachojaribu kinaishia kushindikana. Wataalamu wa maisha na roho wanasema mara nyingi si juhudi ndogo, bali ni ukosefu wa nguvu sahihi za kuvutia utajiri.

Kila mtu ana mzunguko wake wa bahati. Huu ndio unaoamua kama mtu atavutiwa na fursa nzuri, wateja, au miradi inayomletea mafanikio. Lakini mzunguko huo unaweza kuzuiwa na mambo mengi kama mikosi, laana, wivu wa watu, au hata matendo ya zamani ambayo hayajawahi kutakaswa. Mtu anaweza kuonekana mwenye bidii, lakini kila pesa anayopata hupotea bila sababu.…CONTINUE READING