Watu wengi hawajui kuwa mafanikio, amani, na bahati nzuri huanza na kitu kinachoitwa nyota ya mtu. Nyota ni alama ya kipekee inayomwakilisha mtu katika ulimwengu wa kiroho. Ikitunzwa vizuri, mtu huonekana kung’aa katika kila jambo analofanya. Lakini ikichafuliwa au kushambuliwa, maisha huanza kwenda mrama bila sababu inayoeleweka.
Kuna watu ambao huona mafanikio yao yakianza kuyeyuka taratibu. Wanaona mambo yao hayasogei, miradi inakwama, na hata watu waliokuwa wakiwasaidia ghafla wanageuka kuwa adui. Mara nyingi haya ni matokeo ya nyota iliyochafuliwa kwa wivu, laana au nguvu hasi zinazozuia maendeleo.…CONTINUE READING