Kuna wakati nilifikiri maisha yangu yangebaki vilevile madeni, simu za wadai kila siku, na usingizi usio na amani. Nilikuwa nafanya kazi, lakini mshahara wangu haukuwahi kutosha hata kwa wiki moja. Kila mwezi nilikuwa nakopa tena, na tena. Nilihisi kama mkosi ulinifuata popote niendapo.
Nilianza kuuza vitu vyangu vidogo ili kulipa madeni. Wakati mwingine nilikopa kwa marafiki, lakini wote wakaanza kuniepuka. Kila mtu aliona mimi ni mtu wa kulalamika tu. Wengine walinicheka wakisema sijui kupanga fedha zangu. Lakini moyoni nilijua, jambo fulani haliko sawa.…CONTINUE READING