Nilivyookoa Ndoa Yangu Baada ya Siri Kubwa Kuanza Kufichuka Moja Baada ya Nyingine

Sikuamini macho yangu nilipoanza kugundua mambo yaliyokuwa yakifichwa ndani ya nyumba yangu mwenyewe. Kila kitu kilianza taratibuย  meseji ndogo kwenye simu ya mume wangu, maongezi ya usiku akiwa anacheka peke yake, na mabadiliko ya tabia ambayo yalinifanya nihisi kuna jambo kubwa linajificha.

Nilijaribu kujidhibiti, lakini kadri siku zilivyopita, siri moja baada ya nyingine ziliendelea kufichuka. Nilipata picha kwenye simu yake akiwa na mwanamke mwingine, nikahisi moyo wangu unapasuka. Nilikaa kimya usiku ule, nikilia bila sauti nikiwa kitandani. Niliuliza Mungu kwa nini maisha yangu yamegeuka mateso.…CONTINUE READING