Nilivyofumaniwa Na Boss Wangu Nikilia Ofisini na Tukio Hilo Kubadilisha Maisha Yangu Kabisa.

Siku hiyo nilihisi dunia imenigeuka. Nilikuwa nimekaa ofisini peke yangu, nikilia kwa uchungu baada ya kupokea simu kwamba mpango wangu wa mkopo ulikataliwa. Nilihitaji pesa kwa ajili ya matibabu ya mama yangu ambaye alikuwa anaumwa sana. Nilikuwa nimefanya kila juhudi lakini kila kitu kilionekana kwenda kombo. Nilijua hata boss wangu asingeelewa, kwa kuwa siku zote nilimwona mkali na asiyejali.

Wakati bado niko kwenye machozi, nilishtuka kusikia sauti nyuma yangu. Nilipoangalia, nikakutana macho kwa macho na boss wangu. Nilijaribu kujifuta macho haraka, lakini ilikuwa wazi nilikuwa nimevunjika moyo. Badala ya kunikemea kama nilivyotarajia, alinikaribia na kuniuliza kwa upole, β€œKuna tatizo gani?”…CONTINUE READING