Jinsi Nilivyolinda Mtoto Wangu Wakati wa Likizo Bila Wasiwasi wa Marafiki Wabaya na Tabia Mbaya

Kila mzazi anajua changamoto za kipindi cha likizo za shule. Watoto wanakuwa na muda mwingi wa kupumzika, lakini pia huo ndiyo wakati wanaweza kuingizwa kwenye makundi mabaya au kupata tabia zisizofaa. Nilijifunza hili kwa njia ngumu mwaka uliopita, baada ya mtoto wangu kuanza kubadilika ghafla bila kuelewa ni kwa nini.

Mtoto wangu alianza kutoka nyumbani bila kusema anakokwenda. Alikuwa mkaidi, hataki kufanya kazi za nyumbani, na nilianza kupokea malalamiko kutoka kwa majirani kuwa anaonekana akicheza na vijana wakubwa mtaani. Nilihisi kama nilikuwa nikimpoteza polepole, licha ya kumpa kila kitu alichohitaji.…CONTINUE READING